Natafuta Mwanasaikolojia, nina msongo wa mawazo. Nahisi kujiua, kuvuta bangi, kunywa pombe vitu ambavyo sijawahi kutumia

Mkuu, unafaa kuwa mshauri nasaha.
Mtupori_Tz akuone chap kama inawezekana
Namkaribisha sana.

Mimi sio mshauri nasaha ila huwa natoa hiyo huduma na watu ambao wamekuwa wakinitafuta huwahudumia bure kutokana na kwamba na mimi hujifunza pia lakini napata taarifa.
 
Habari,

Kwa Sasa napitia wakati mgumu nina matatizo binafsi nahitaji msaada wa kisaikolojia nitamlipa.

Nipo kKgamboni naomba mnisaidie
Pm kuko wazi.

Msinijibu ovyo mtaendelea kuniumiza
Nipigie nikupange hakuna kubwa kwenye hii dunia mzee ujajua code tu mimi ndio mr kila kitu najua ukiwa karibu na mimi unakua secure 0712505049
 
Msongo wa mawazo ni Evil Spirit.!
What you need is the Spirit of God to remove that Evil Spirit.

Jichanganye....!
 
Kabla hujawaza kujiua tafuta mtu uzungumze nae...amini nakwambia lililo gumu kwako kwa mwenzako ni jepesi...!

Hakuna kinacho shindikana chini ya jua...!​
 
Mbona hili ni kama bango na si ushauri? Ushauri una kanuni zake na lugha yake. Mimi nasema hivi kwa sababu nimefanya counselling (kusoma miaka 2 na practical miaka 2, achilia mbali practice). Hivyo, najua lugha yake.
 
There is no god in this world usimdanganye mwenzako
Kama hujawahi kukutana naye ni wewe....!
Mimi namshauri Kwa kitu NACHOJUA...!
Na wewe ungeweza kumshauri Kwa vile unavyojua....!

Kutokuamini kwamba hakuna Mungu hakukufanyi wewe ndo Mwenye Akili kuliko wengine....!

Ubishani unaotaka kuuleta hapa, Subiri kwenye Nyuzi za Kiranga ukabishane huko.
 
Habari,

Kwa Sasa napitia wakati mgumu nina matatizo binafsi nahitaji msaada wa kisaikolojia nitamlipa.

Nipo kKgamboni naomba mnisaidie
Pm kuko wazi.

Msinijibu ovyo mtaendelea kuniumiza
Njoo kwa maseniou waloliopitia changamoto hizo na sasa tunaishi kawaida sana. Njoo inbox unibrief na nione kama nina nitaweza kukusaidia.

kama uko kazini unapaswa kuchukua likizo walau ya wiki 2
 
Habari,

Kwa Sasa napitia wakati mgumu nina matatizo binafsi nahitaji msaada wa kisaikolojia nitamlipa.

Nipo kKgamboni naomba mnisaidie
Pm kuko wazi.

Msinijibu ovyo mtaendelea kuniumiza
Umri gani, kwani kuna kizazi hakijafanya lolote kwa taifa hadi kutusababishia vijana tuishi kwa ubabaifu

Natoa ushauri kulingana na potential ya mtu kwa taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…