Natafuta mwanasheria au taasisi inayotoa huduma ya wanasheria ili awe mshauri na mtetezi wa familia yangu pale inapobidi.
Malipo yake yatatokana na makato yangu ya mshahara kila mwezi ,kiwango cha malipo ni kitafanana na makato yanayotakiwa kukatwa kwa ajili ya chama cha wafanyakazi.
Kwa aliye tayari anielekeze ofisi zake nimfuate kwa majadiliano zaidi.