Natafuta Mwanasheria

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,286
Reaction score
4,523
WanaJF natafuta mwanasheria anisaidie kudai haki zangu kwa mwajili, tafadhali aniPM nimpe ufafanuzi, na namna ya kulipana.

Natanguliza shukrani
 
Nenda msaada wa kisheria udsm...........
 
Wanasheria wako wengi tu, jaribu kuwapitia alafu waeleze shida yako nadhani utapata mtakaye elewana atakusaidia na pia anaweza kuwa Mwanasheria wako wa kudumu.
 
Kuhani anaweza piga bill kuliko ya Nimrod Mkono kule BOT....$ 500 kwa saa!
 
WanaJF natafuta mwanasheria anisaidie kudai haki zangu kwa mwajili, tafadhali aniPM nimpe ufafanuzi, na namna ya kulipana.

Natanguliza shukrani


Mtafute Ademba Gomba ama Beledi Malegesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…