Natafuta mwanaume anayeishi na VVU(HIV+) 35-45

Mariangonyani

Member
Joined
Mar 31, 2013
Posts
39
Reaction score
59
1. Akubali hali yake na ajue kuwa na vvu sio mwisho wa maisha.
2. Elimu kuanzia kidato cha sita asiwe tegemezi na awe mchapakazi
3. Asiye na kisasi ajue kuwalinda walio wazima yaani asiyeendelea kusambaza ugonjwa kwa wengine coz atajiangamiza yeye na mimi pia
4. Awe na watoto wasiozidi wawili
5. Awe anamuogopa mungu na awe smart
6. Nitumie msg inbox
 
Kwani wewe afya yako vipi mkuu? Na unampango wa kufunga naye ndoa? Tupe status yako kwaujumla ili kama nitakuhitaji nijue naenda kwa mtu wa aina gani
 
mbona wewe hujaweka wasifu wako!uko wapi na nini malengo ya kumpata!!
 
Nakutakia kila la heri MariaNgonyani!!
 
Yupo mmoja anatafuta mwanamke vigezo vyote anavyo ila hivi sasa ni mwaka wa pili yuko kitandani analishwa na kila kitu kumalizia hapo hapo. Vipi nikuunganishie?
 
Yupo mmoja anatafuta mwanamke vigezo vyote anavyo ila hivi sasa ni mwaka wa pili yuko kitandani analishwa na kila kitu kumalizia hapo hapo. Vipi nikuunganishie?

uwepo wake kitandani sishangai coz ata wewe utakuja kuwa kitandani tena kwa ugonjwa wa aibu kuliko uo ukimwi , pili natafuta mwenye vvu hujui lolote kuhusu ukimwi wewe na mwisho natafuta mwenye status kama yangu akija kuupata uo ukimwi nitamuuguza ata aumwe miaka mia
 
Nimekupata vyema maana nilikuwa sijakusoma. Mungu atakusaidia kumpata huyo umtakaye.
 
MariaNgonyani, Mungu atakusaidia kupata chaguo lako. Nina imani utampata, kwa kuwa wapo pia ambao wametangaza. Ila pia hujasema chochote juu yako kama umri na mambo mengine.
 
kila la heri
ila ungeweka na wewe wasifu wako
 
Iam interested, pls contact me
Code:
mapenziuhai@gmail.com
or
Code:
lovingcaringm@yahoo.com

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…