Natafuta mwanaume baadae awe mume wangu

Fatiha89

New Member
Joined
Apr 14, 2018
Posts
4
Reaction score
13
Natumaini wote wazima
Nahitaji mwenza ambaye tukijaaliwa aje kunioa

Awe muislam(muhim saaaana)
Miaka 27-36
Elimu Degree
Awe anajishughulisha angalau
Kama anavaa na cjaridhika na uvaaje wake bac Awe tayar kubadilika kimavazi maana napenda mume wangu awe smart saaana


Sifa zangu
Muislam
Miaka ni kati ya 24-27
Elimu, Degree(Sheria


NB:
1.Tafadhali hakikisha una sifa zilizotajwa hapo juu haswa dini maana sitaweza kubadili niliyonayo na ukijiona umezi 36 wala usijisumbue

Karibun PM mume wangu mtarajiwa
 
Kila la heri mama
 
zali la mentali,limetokea wakati mm nipo single,mwanaume umepata na baadae nitakuwa mume wako,ngoja nije PM.
 
mimi nipo hapa, ila nina dini mixer ila nipo tayari kuwa wa dini yako , nina degree na kazi yangu ni FOREX... kama ok nikufate PM

 
we semana muombe Mungu Akupe mume sio mwanaume baadae aje kuwa mume wako,ukisema hivyo unamaana wadau waonje kwanza,hapa kuna waonjaji wengi kuliko waume
 
hahahahahaaa.....ustaadhat wangu nikukumbushe kiti.

Mapenzi sio elmu mama.....mapenzi ni kupendana...
Angalau hata ungesema bs awe na elmu kias flan ya dini na Quran.....bs hapo ningeona unataka mwanaume ajuhai misingi ya ndoa na mapenzi ya mke na mume kwa kufata dini ya kiislam...

Laasivo utapata ambaye kakutaman tu na hajakupenda.

by the way mi ni muislam namalizia degree yangu hapa Muhimbili[emoji16]

Kila lakheri
 
dada acha kuwa limited na dini za wazungu na waarabu ! zitakukosesha mume bure ishi kiafrika
 
Wewe una kazi??
 
Shukran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…