Na asiye mwathirika hana haja ya kuwa am bia ndugu na jamaa juu ya afya ya mwenzakeIt is true, but needs courage, pure love and well understanding partner (the negative partner)! Hasa ikiwa huyo HIV negative partner ndiye sole initiator wa hiyo relationship na msingi wa hiyo relationship sio material things but pure love, intimacy and soul mates! Otherwise ni ngumu sana.
Teh teh teeeh
Uko sahihi mkuu sorry upo mkoa ganiNlianza mahusiano na mtu tukapima tulikuwa safe three year to come visa na vituko kila siku kisa kipya na mwanamke mpya nikaamua kuachana nae na kupima,ndio nikakutana na majibu haya,funzo ni kwamba ukeshe ukiomba maana waweza tulia mwenza wako akauleta
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay poa
AminDah nimependa spirit yako.i wish upate aliyebora na mwenye akili kama yako kuhusu swala zima la mahusiano...all the best
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ya ndoa siyo kuzaa watoto tu, kuna issue ya lifespan, matunzo na kuenjoy sex bila mipaka hivyo bora ajitafutie wanayefanana na pia kuna unyanyapaa muulize km kapata pm nyingi km vile ambapo wengine wanapata.Watu hawaelewi tu kuwa mwathirika anaoa/kuolewa na asieathirika na wanazaa watoto wazima na maisha yanasonga
How?Watu hawaelewi tu kuwa mwathirika anaoa/kuolewa na asieathirika na wanazaa watoto wazima na maisha yanasonga
Mentor umenikumbusha thread yako Fulani hivi ilileta taharuki humu jamvini.Mtoa mada, mi swali langu ni ulipataje hivyo virusi?
Nia si kukudhihaki, ila huenda sisi tusiofit vigezo tukapata na cha kujifunza. Ila tu, kama ukijisikia huru kushare nasi. Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh, aisee [emoji15]. Pole sana dear. I'm speechless now.Nlianza mahusiano na mtu tukapima tulikuwa safe three year to come visa na vituko kila siku kisa kipya na mwanamke mpya nikaamua kuachana nae na kupima,ndio nikakutana na majibu haya,funzo ni kwamba ukeshe ukiomba maana waweza tulia mwenza wako akauleta
Sent using Jamii Forums mobile app