Natafuta mwanaume mwenye malengo ya ndoa

Ulianza na huu uzi ukitafta marafiki.
Natafuta Mme Mtu Mzima
Ukaja na huu hapa
Natafuta Marafiki
Mm naomba niwe rafiki yako tu. Km utapenda njoo PM
Duh watu mnajua kufukunyua. Kumbe hizi thread za kutafuta wachumba humu zinafanywa na mtu mmoja kwa tarehe na ID tofauti tofauti. Nilitaka ku-pm lakini nimekoma. Kumbe unaweza kuwa una-pm mtu huyo huyo mwaka mzima.
 
Aaah aaah!! Hzo katumia ID moja tu. Xx sjuh km ana ID tofauti na hzo!! Km anazo nyngne hapo ni hatari tupu
 
Naona masharti mengi, kama vp mzae mwenyewe mwenye hizo sifa ili akuowe.
 
Mpendwa unaye tafuta mchumba, umesema ni mkristo, hivyo peleka swala lako kwa Mungu Baba!!
Onana na waombaji hasa Watumishi, amua kumtumia Mungu akupe jibu zuri la hitaji lako!!
Isizitegemee sana akili zako zitakupoteza, jifunze kumtegemea Mungu kwa mambo yako muhimu!!
 
wew sas

naona hii ni kwa wazungu! kuna mwafrika asiyekuwa mweusi?
 
Mwambie monica akutaftie ana ujuz na watu hao
 
MKUU
WEKA PICHA.
HAPA JIRANI YANGU YUPO JAMAA NI MMANG'ATI,
VIPI ATAKUFAA??
 
Eti asiwe mweusi unaukataa uafrika wako wa asili au unataka kila mtu anywe maji kama ray kigosi?kamtengeneze wa kwako
 
Hivi mtu akiwa mfupi na kadude kake kafupi kwahiyo dada anataka kitu ndefu' hahahaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…