Natafuta mwanaume mwenye malengo ya ndoa

Namba 8 nikiwa na mtoto sio tatizo?!
Ila naogopa siku hizi nyie hamchelewi kunyonga watt wa mwanamke mwenzenu.
 
 
22 years umeshawaza kuolewa kweli bongo maisha magumu.
 
Hivi hatafaidika na nini atakaye kuoa ukijibu hilo swali nafikiri utakuwa umepiga hatua muhimu.
 
nmekutafuta kweli njoo ukae moyon kuna chumba kipo wazi
 
Daah mapenzi na ndoa za siku hizi very simple and complicated,mnazama PM mnachat, mna negotiate kama dalali anavyonunua gunia la viazi kyle Nsongwi Mantanje uyole mbeya,mnaanza Kutumiana tupicha mara mnaonana live mara hee mnapigana dudu, mnaanza kuchunguzana wee mara mnashindwana Kila mtu anasepa kivyake.
then yule muhitaji anarudi zake PM tena kuangalia the second best option,utaratibu unaanza upya, tupicha,dudu,kuchunguzana and so on mpaka anapatikana mlengwa...Heheheh
 
Kama hujapata PM plz
 
Ni PM
 
"Yaniii sifaaa zoooote anazo lakini hafai,ukilizwa sababu nini,mmmmmh Mkaraaaa!".
By JK Nyerere!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…