Natafuta mwanaume mwenye malengo ya ndoa

mdogo wangu sikiliza wosia, maisha ni jinsi unavyoishi, kulikuwa na binti wawili wenye kile kinachofanana kiasi na unachofanya ktk wakati tofauti, nilikuwa na malengo nao ktk wakati tofauti lkn walinikwamisha. siku kadhaa kabla ya harusi nilipokea msg kutoka kwao zikifanana, zikisema, "kwa nn unaoa mapema, ulishindwa nn kuvumilia, huyo ana nn zaidi yangu?" nilimuonesha mke wangu na kumwambia hyo ni moja ya tofauti uliyonayo na wengine. Ni vizuri tukijifunza namna ya kuishi na wengne, hii si kwako tu, ila kwa wengine pia hasa wenye uhitaji wa ushauri na kujifunza.
 
Unamtafuta Mume? mume ni mwanaume ambaye tayari kashaoa sasa unasemage unatafuta mume? Sema unatafuta mwanaume mwenye malengo ya kuoa. na wala hatafutwi kwa namna hiyo. Tulia utapata tu mwanaume mzuri ambaye atakuwa Mume wako.
 
Yaan nahitaji mwanaume wa kunisumbua sumbua kama mke wangu upo Wapi... Nalimiss Tunda langu... Like ivo... Kubembelezana and other staffs... I just want to feel love.... That special feeling am missing..

Naimba kujua level yako ya elimu.Umesema unajiendeleza kutoka level gani labda?
 
Nenda seminary Dada angu wapo kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…