Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati, sina mtoto na sijaolewa

Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati, sina mtoto na sijaolewa

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,575
Mimi ni mwanamke mjasiliamali mwenye umri wa miaka 25. Ni mzaliwa wa Sumbawanga ila makazi yangu kwa sasa ni Dar. Sina mtoto na sijaolewa. Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati ili awe mume wangu baadae.

Mimi sichagui dini wala kabila, ila sipendi mwanaume mgomvi na malaya maana siku hizi kuna magonjwa mengi.

Mwenye nia ya dhati tuwasiliane kwa email yangu ili tupeane namba za simu.
 
Back
Top Bottom