Natafuta mwanaume wa kunioa

umepata mume na hakika ni ww nilie kuwa na kusubiri....fanya ivi njo inbox tuu kitu rahis sana
 
Kama uko independent kuoa sio kitu cha kukimbilia!fanya yako jijenge maana kwa staili hii ya kutafuta mtu wa kukuona ni kama unatafuta back up!sidhan kama unaishi maisha standard
 
Mimi nina 27yrs.
Mchaga.
Nina diploma.
Mimi siangalii sana muonekano wa nje awe na 30+yrs.
Mkristo.
Muajiriwa/aliyejiajiri.

Naomba yule aliyeserious aniPM tufahamiane zaidi.
Unawatoto wangapi wa nje ya ndoa? Maana avatar yako inaashiria hivyo.
 
Du mchaga mm hapo sifa sina mchaga ukipata Mali anakuondoa kabsa ili aoe mwanaume anae mmiliki
 
Mimi nina 27yrs.
Mchaga.
Nina diploma.
Mimi siangalii sana muonekano wa nje awe na 30+yrs.
Mkristo.
Muajiriwa/aliyejiajiri.

Naomba yule aliyeserious aniPM tufahamiane zaidi.
Una diploma ya nini
Una taka mwanaume mrefu au anduje
Unataka wa rangi gani
Unataka kabila gani
Utaki chini ya 30-yrs


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…