MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 1,836
- 3,153
Hayo mahusiano ni mahusiano yanayohusiana na Nini!?Kama upo tayari njoo pm tuzogoe wapenzi.
Sio mama huyo mazee ni timu iliyorudisha mpira kwa kipa..Namjaza tu huyo kamama anaetafuta mpenzi hapo juu
No free lunch, remember.Wazee wa mipira ya kutenga,fursa hii.π
MwelezeeπSasa ndio umuweke kwenye chujio? Mbona kama kuna vitu unachanganya?
Hahaha aiseeSio mama huyo mazee ni timu iliyorudisha mpira kwa kipa..
Oh my God!Niombe msamaha kipenzi π
Ni safari sioπOh my God!
Huyo sio mimi
Sijui ni nani kaandika hapo mi mwenyewe ni baki nashangaa sjui wamehack ID yangu πNi safari sioπ
πππππ₯πβ₯οΈKama upo tayari njoo pm tuzogoe wapenzi.