Nikajua umerudi kundini!Sijui ni nani kaandika hapo mi mwenyewe ni baki nashangaa sjui wamehack ID yangu 😊
Umesahau niacha pombe mwezi wa tano huu mamii
Sinywi mpaka tufunge ndoa Dec mamaNikajua umerudi kundini!
Khaa nadhani kuna IT anacheza na account yangu.Kuwa makini uliyemuachia simu anachanganya mafaili huku🤣
Kabisaa! Hapo umeweza bamtu!Sinywi mpaka tufunge ndoa Dec mama
Anatutaka undani wetu eeh! Muache ajichanganye..Khaa nadhani kuna IT anacheza na account yangu.
Finally mungu kakuonekania kichogo😎😂 Nacheka
Astakafirilah mtumishi wa Mungu 🙆Finally mungu kakuonekania kichogo😎
I can't broke my promise najua ghadhabu yako mamyKabisaa! Hapo umeweza bamtu!
Lengo lao tuachane na haitowezekana kamwe.Anatutaka undani wetu eeh! Muache ajichanganye..
Kwani ametokea temeke?Astakafirilah mtumishi wa Mungu 🙆
Naomba usinihusishe na huyu ***** mtoa mada
Chek mada zake za nyuma.Kwani ametokea temeke?
Najua dadii🥰I can't broke my promise najua ghadhabu yako mamy
Hawajui tulipotoka, watajuaje tunapokwendaa, ya kwao yanawashindaa yetu hawataweza!💃🏽Lengo lao tuachane na haitowezekana kamwe.
Mada za aina hiyo sitizamagi😎Chek mada zake za nyuma.
Anyway, kwamba ametokea temeke ndo nn 😎
PumbavuNajua dadii🥰
Hawajui tulipotoka, watajuaje tunapokwendaa, ya kwao yanawashindaa yetu hawataweza!💃🏽
Temeke Sudan ama?Temeke hujui wanatoka kina nani?
Astakafirilah mtumishi wa Mungu
Jiue🤣💔Pumbavu
Sudan ni wapi tenaTemeke Sudan ama?
Najua dadii🥰
Hawajui tulipotoka, watajuaje tunapokwendaa, ya kwao yanawashindaa yetu hawataweza!💃🏽
Sasa mm na mambo ya daslamu wap na wap, ungeniambia mambo ya Arusha daraja mbili au ungalimited nngeelewa haraka 😎Sudan ni wapi tena
Mkubwa hivyo hujui codes😁
Kuna kwaya inaimba, kekundu kekundu , kekundu