miss nimechoka
Member
- Jun 27, 2016
- 30
- 81
Mimi natokea CHATO, halafu nina kipara na 50 ninayo, hapo ninakidhi?Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm
Cc dHabarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm
Hahaaaa sio mimi. Mimi nikishapata tu ujauzito tusijuane tenaNipo mimi ni PM
Tatizo lenu shida zikikaba huchelewi kutengua kauli!!! Unaanza kuulizia matumizi ya mtoto.
Yeye hataki mambo serious,anataka apewe mimba tuu basi.kwa hyo wapenda papuchi wasaidiwe kushare.huku jf wapo wapenda papuchi tu wanaume wa kupanga mambo sirias ni wachache kuwa makini
Ina maana Arusha yote umekosa mwanaume mwenye hizo sifa ukajilengesha ukapata ukitakacho ukavunja mahusiano kwa kumwambia mwenzi wako karudi!!!Hahaaaa sio mimi. Mimi nikishapata tu ujauzito tusijuane tena
Huu sasa ni Ubaguzi, kwa nini Arusha wakati hata huku vijijini kuna mianaume shababi wapiga Jembe hatari ambapo hutakuwa na wasiwasi wa kufa na njaa.Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm
Sina mumeMme wako hajapewa uwezo wa kukupa ujauzito?
Je huyo anayekupa mimba atanufaika vipi au mbegu zake anatoa bure?
Alafu ujue kuzaa na mtu then kumuachia mtoto kirahisi tu! Isn't easy like that