Tella Mande
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 494
- 675
huku jf wapo wapenda papuchi tu wanaume wa kupanga mambo sirias ni wachache kuwa makini
Mkuu unauhakika mayai yako vizuri!?usije ukageuzwa mke mimba kunasa hainasi!!Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm
Mwanaume wa kiafrika huwezi kuuliza faidiko la kutia mimba we ni mtu wa kuwapa mbegu wanawakeBaada ya Mimi kukupa ujauzito nafaidika na kitu gani kunamalipo yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani Mature sperms kutoka kwa mature person ni kigezo pia.Sasa ww unatafta wa kuzaa nae tu,umri wa nn ww?
[emoji3] [emoji3]Kwahiyo malipo ni papuchi??? Hii inaonyesha ni kiasi gani wanaume tunaonekana dhaifu
Kweli kisa papuchi ya siku moja ikufanye utelekeze damu yako??
Ukisikia mwanaume/familia inataka mwanamke wa kuwazalia mtoto ili awe wao lazima litangazwe dau kubwa na bado inaweza kuwa ngumu kumpata
Lakini kwa malipo haya ya papuchi unaweza kuta Inbox ya Miss nimechoka imeshajaa masela wanasubiri interview [emoji52]
Nipo mimi..njoo pmhuku jf wapo wapenda papuchi tu wanaume wa kupanga mambo sirias ni wachache kuwa makini
Njoo pmHabarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm
Aya njoo gheto basiHabarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm