Acha uvivu, bure aghali, hebu acha kubweteka, nenda pale Vingunguti eneo la viwanda kila siku wanachukua vibarua kwa ajili ya kazi zisizo na taaluma maalum, kama ukiona ni kazi ngumu, fanya hata kwa wiki moja ukipata mshiko wako, ndio ushatoka hivyo, unaweza kuanzisha biashara ya kuchoma mahindi au kuzungusha matango, vipande vya mihogo na ndizi na uka make money.....
Kama itakuwa ngumu kwako, basi jimuvuzishe pale KIMBOKA BY NIGHT BUGURUNI wateja wapo kibao tena wengine ni wana JF, na hivi utakuwa mgeni machoni mwao, watakugombea kama muuza urojo Zanzibar.....