Natafuta mwanaume wakunisaidia kimaisha

Natafta mwanaume wakunipa hela yaani hali yangu ya kiuchumi ni mbaya sana nadaiwa 2m nlikopa for bzness,mtu ajitolee bac aokoe jahazi,mbarikiwe

Jamani msaidieni mwenzenu, huenda anashida kweli tusichukulie mzaha kila kitu kwa kuuliza maneno ya dhihaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…