Natafuta Mwekezaji ili tufungue Beach night club Kigamboni

Natafuta Mwekezaji ili tufungue Beach night club Kigamboni

B.O.G

Senior Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
144
Reaction score
40
Kuna beach ambayo ipo kigamboni si mbali sana na ferry , hivyo natafuta mtu ambaye kwa pamoja tutafungua Beach Night Club, restarant na mambo mengine mengine eneo hilo. Eneo hilo tayari lina majengo ambayo yata takiwa kufanyiwa ukarabati mdogo na pia kuna parking kubwa tu ya kutosha.Tuna weza kuwasiliana kupitia kadidi123@yahoo.com
 
Wazi zuri! Beach hii iko eneo lipi hapo Kigamboni? Je suala la Mji Mpya halitakuwa na athari?
 
Kama ile eneo ni lako na una hati ya umiliki si ni bora ukachukue mkopo Bank ili uweze kujenga hiyo club.
 
Back
Top Bottom