Natafuta Mwekezaji (Milioni 50-Mtaji): Car rentals mega project

Natafuta Mwekezaji (Milioni 50-Mtaji): Car rentals mega project

Dear_me_

Member
Joined
Dec 31, 2022
Posts
36
Reaction score
79
Habari za Muda huu mwanakitaa/ mwana jf, mpambanaji
Ningependa nikufunue macho kidogoo.
Je unajua makampuni mengi makubwa yalianza kushika soko wakati uchumi ume yumba
(Always Opportunity in adversity)

Natafuta mwekezaji upande wa car tentals/logistics ni fursa kubwa iko upande huu ENDAPO.
-utaenda sawasawa na technology
-Usajili ulio rasmi ( hapa naongelea usajili wako uwe unatumbulika kitaifa kabisa ).

Biashara hii haina haja ya kumiliki gari/ magari kikubwa ni management.

Kwa nini nimesema management sababu ni ile ile
-Nenda sawasawa na technologia utapunguza gharama zisizo na ulazima.
-Tanbulika ki taifa zaidi naongelea (usajili wenye kuridhisha tenda kubwa na za serikali unaweza kuwa na vigezo)

Hivyo Nakutegemea wewe mwekezaji na nitegmee nikupe idea tufanye kazi

Thamani ya mtaji 30,000,00-50,000,000 TZS

Maingezi zaidi ushauri DM Iko wazi asante
 
Back
Top Bottom