Natafuta mwenye milioni 5 tushirikiane kuendeleza shamba la miti kisha tutagawana faida baada ya mavuno

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
3,074
Reaction score
6,472
Wakuu naitaji mtu mwenye pesa hiyo aje tuwekeze faida tutagawana ipo hivi nina shamba la miti ya mbao ipo njombe karibia hekari 25 nimekatia/nimeishiwa hela ya uendeshaji endapo atatokea mwenye mtaji huo na tukashilikiana na kwa wema na juhud nipo tayari tukishamaliza kuvuna miti na kuuza ndani ya wiki 3 la zoez mpaka kukamilika nitampa robo tatu ya pesa atayotoa

Nikiwa na maana eneo hili linatoa si chini ya milion 50 kwahiyo ataeweza toa milion tano mwisho nitampa milion 15 na kwa makubaliano maalumu mana nimejaribu kukopa bank mashart yao ni mengi je nampataje huyo mtu mwenye hiyo pesa kama unawazo pia naliitaji pia kama upo tayari njoo chukua namba yangu kwenye post yangu wa "nataka kuwasaidia kwa yule anaetaka kuwekeza kweye mbao" upo jukwaa la biashara mwisho mwa ule uzi kuna namb yangu usije pm sitokujibu
 
Tulia kwanza tuongee vizuri

Weka vielelezo vyote hapa ili tuone umuhimu wa changamoto uliyonayo na sio kuita watu "chemba"
 
😂😂😁😁🤣🤣😂😂😁😁😁😁Mupe Muruke
Hela 5 million ninayo but uaminifu sina, simjui tutasumbuana sana

Pili sina udhoefu na biashara ya mbao kabisa. Kipindi cha magu ilidorora sana, kwa sababu soko kubwa ilikuw nguzo za umeme. Wengi wakawa na mbao zikashuka bei

Ila biashara nzuri sana hii, kutokqba na taarifa nilizozisikia.
 
Hapo kwenye kauli ya “robo tatu” hapajakaa sawa.
 
Naona unatafuta vitu viwili tu

1.Umdhulumu mtu au

2.Udhulumiwe wewe
 
Bora nibetie nitapata ndani ya siku Moja hiyo robo tatu kuliko kukupa mjinga kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…