HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,448
- 6,211
Nilikua nawaza kwanini anaonesha fedha, si atafute tu mwenyejiπππ
Ila we jamaa una utapeli wa kizamani sana
Acha ufala nani katapeliwa mie nasema kama Kuna mwenyeji hapa tuonane we unawaza utapeli kenge weπππ
Ila we jamaa una utapeli wa kizamani sana
Wanasura person sana yaniTafuta mwanamwali wa kikongo ukanyage acha kupiga mayowe