Natafuta mwenza/mke mwenye miaka kuanzia 30-45

maisha kusaidiana. Ndo maana nikataka mwenye elimu isiyozidi kidato cha nne kwa kuwa nataka mke wa kulea familia kwa mila za kiafrika. Nyie wasomi ndo maana ndoa hazidumu, sasa mie niende kazini ww ukae tu ndani kuangalia kideo eeh?. Najua ntampata

Usijali utapata tu ila kumbuka wasichana wengi siku hizi wamepiga hatua sana kielimu (wengi wameajiriwa au kujiajiri), sio kama mabibi waliotutangulia hivyo kigezo chako cha f4 kinaweza kikawa kikwazo kwako!!

Ila maisha yalivyo magumu unataka golikipa?!

Reactions: kui
Asalaam alaikum za asbh mmeamkaje nafamilia vipi kheir naona kimya haya nakutakia ck njema na kazi njema pia inshaalah
 
Ndo namtaka golikipa awe anadaka mabao nitakayokuwa nayamimina usikuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
utaendelea kufeli tu bora ujiwekee kichwani kuwa utakuwa singo milele pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…