husband jioni hii?? five years back ulikua wapi?
Dunia ya leo shule muhimu vinginevyo itakula kwako.
Wakati wenzie wanacheza kombolela / baba na mama yeye alikua anagombana na vitabu..mh..haiya/Alikuwa shule!
Wakati wenzie wanacheza kombolela / baba na mama yeye alikua anagombana na vitabu..mh..haiya/
Naomba nsichangie zaidi walimwengu wakajasema nimekosesha mtu husband kwa mineno mingi..Si unajua mshika mawili....au mtaka cha uvunguni pindua tanda taona 🙂🙂
Weka picha!!