Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weupe wako ni wa asili ama wauturuk
Majaaliwa tu ya MunguMiaka 34 una mtoto mmoja ulikuwa wap? Kunzaa faster kama mimi miaka 30 watoto wa5
Asili😀Weupe wako ni wa asili ama wauturukiiii?
Peleka tangazo lako misikitini au kwenye fm radio za kidiniSifa za baby wangu😅😅 nimtakae :-
-Muislam
-Kuanzaia miaka 34 na kuendelea
-Mrefu wastani
- Mstaraabu na mcheshi
-Ukiwa na watoto sawa
-Aijue dini kiasi
*Sifa zangu ni miaka 34, mweupe kiasi, nina mtoto mmoja, niliwahi olewa.
😁 Ok me nimeshafeli kweny kigezo cha umri acha waje wenye vigezo vyao nakuombea kheri dadaAsili😀
Mimi MkristoSifa za baby wangu[emoji28][emoji28] nimtakae :-
-Muislam
-Kuanzaia miaka 34 na kuendelea
-Mrefu wastani
- Mstaraabu na mcheshi
-Ukiwa na watoto sawa
-Aijue dini kiasi
*Sifa zangu ni miaka 34, mweupe kiasi, nina mtoto mmoja, niliwahi olewa.
😂😂😂Weupe wako ni wa asili ama wauturukiiii?
Ikikupendeza nitafuteSifa za baby wangu😅😅 nimtakae :-
-Muislam
-Kuanzaia miaka 34 na kuendelea
-Mrefu wastani
- Mstaraabu na mcheshi
-Ukiwa na watoto sawa
-Aijue dini kiasi
*Sifa zangu ni miaka 34, mweupe kiasi, nina mtoto mmoja, niliwahi olewa.
Umekidhi vigezo ustadhat, soon unaenda kuwa mke wanguSifa za baby wangu😅😅 nimtakae :-
-Muislam
-Kuanzaia miaka 34 na kuendelea
-Mrefu wastani
- Mstaraabu na mcheshi
-Ukiwa na watoto sawa
-Aijue dini kiasi
*Sifa zangu ni miaka 34, mweupe kiasi, nina mtoto mmoja, niliwahi olewa.
Mmmh! Utakua ni muIraq wa Mbulu weweMiaka 34 una mtoto mmoja ulikuwa wap? Kunzaa faster kama mimi miaka 30 watoto wa5