Natafuta mwenza (mwanamke)

Hawa mama ntilie hapa mwenge na wale wasusi wengi hawana waume.
kazi na biashara sio issue kwangu, muhimu ni mapenzi nimwelewe na anielewe, tupendane tu inatosha, kwaiyo sijali kuwa ni msusi au anafanya nini.
 
Handsome la Kijiji cha JF kipengele cha Dini hujaweka au kwako sio tatizo🤣
 
Handsome la Kijiji cha JF kipengele cha Dini hujaweka au kwako sio tatizo🤣
haha, mimi ni mkristo, ndoa yangu itakuwa ya kanisani kwaiyo yoyote aliye tayari kwa ndoa ya kanisani ni sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…