Natafuta mwenza wa kiume

Hiyo lugha ya malkia ndo itakayotumika hata tukiwa wote kimaisha au baadaye itabadilika?[/QUOTE

Hahaaa,kwan we umeishia la 2 b kama mimi

mtakua mnapiga you know nying hata bibi yako wa nguruka atakua anapigishwa kiswanglish
 
Mambo ..plz nicheck 0656378005 nami nahitaji Mke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very simple! Beba bango Lililoandikwa "NATAFUTA BWANA" pita nalo morogoro road mpk posta, zunguka nalo hadi kariakoo. mpk unarudi hom tyr utakuwa ushapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I need a girl to ride,I need a girl to make my wife.I need a girl who's mine......i can't spend night alone!
 
Naomba number niku pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka picha yako apa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ushauri
...nenda kwenye kadamnasi ya watu andika hayo mahitaji yako kwenye bango halafu linyanyue juu kwan mikono miwili, baada ya dakika 30 naamini utafanikiwa[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Toa nafasi ya upendeleo kwa mikoa jirani km Moro,nisikukose[emoji19]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…