Natafuta mwenza wa kuishi nae wa kike

Propolis

Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
34
Reaction score
50
Mimi ni kijana wa mikaa 27, ni Afisa wa Serikali (Maliasili). Elimu yangu ni shahada (BSc. Forestry). Ila Binti awe na Elimu ya Kuanzia cheti (Certificate), stashahada (Diploma) au Shahada (Shahada) awe na chini ya miaka 25 lakini awe mjasiliamali au mwenye uwezo kujishughulisha na kujiingizia kipato chake.
 
Unataka mtu wa kuishi nae tu masharti yote hayo??
Chukua ndugu zako au kwenu hakuna wa kike mwenye cheti, stashahada na shahada?
 
Unataka mtu wa kuishi nae tu masharti yote hayo??
Chukua ndugu zako au kwenu hakuna wa kike mwenye cheti, stashahada na shahada?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unataka mtu wa kuishi nae tu masharti yote hayo??
Chukua ndugu zako au kwenu hakuna wa kike mwenye cheti, stashahada na shahada?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yaani huyu kweli anataka wa kuishi nae huko aliko porini bila ndoa wadada kazi mnayo
 
Unataka mtu wa kuishi nae tu masharti yote hayo??
Chukua ndugu zako au kwenu hakuna wa kike mwenye cheti, stashahada na shahada?
Nadhani sijaeleweka kuishi nae kwa kufuata taratibu zote, baraka za wazazi ili niishi nae kama mke halali wa ndoa samahani kwa kutonielewa awali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…