Natafuta mwenza wa kuishi nae

Natafuta mwenza wa kuishi nae

dealkubwa

Senior Member
Joined
Jul 1, 2020
Posts
144
Reaction score
587
Natafuta rafiki akidevelop awe mchumba then mke sifa ziwe hizi hapa

Awe mkristo mimi ni roman
Awe msukuma au mnyamwez kama mimi
Awe na miaka chini ya 27 mimi nina 30
Awe tayar kupima H.I.V
Mawasiliqno yangu 0763932278
Muonekano wangu ni mrefu mweusi wa wastan mwili wa wastan
Asiwe na mtoto
View attachment 1689558
 
Back
Top Bottom