Maisha ni safari na ni siri ndefu na kila mmoja ya kwake, kuoa ni sifa ambayo mwanaume anapaswa kujivunia;
Natafuta mke wa kuishi nae sasa mpaka milele.
Sifa zangu:-
Ni mkristo
Ninaumri wa miaka 28
Situmii kilevi chochote
Kabila mmbena
Sifa za mwenza nimtafutae
Dini yoyote
Elimu yoyote
Miaka isiyozidi 25, na mengine ni ziada tu