Habari wana MMU. Mimi ni kijana wa kiume. Baada ya kujitathimini mimi binafsi, bila kushawishiwa na mtu (external influence) zaidi ya moyo wangu napenda kutangaza wazi kuwa nahitaji mwenza kifupi mchumba binti mwenye umri usiozidi miaka 28 kwa ajiri ya kuanza serious relationship ambayo Mungu akipenda na sisi tukitimiza wajibu wetu basi tuishie kuwa Mume na Mkewe(baba na mama). Kwa yeyote aliyetayari naomba ani PM. kwa maswali binafsi naomba mni PM pia haya ya kawaida nitajibu hapa hapa.