Natafuta mwenza wa maisha nitakaye mtimizia mahitaji yote mke apasayo kupewa

Natafuta mwenza wa maisha nitakaye mtimizia mahitaji yote mke apasayo kupewa

Joined
Apr 10, 2018
Posts
6
Reaction score
0
Habari,

Nafuta wife material mwenye mapenzi ya dhati, kwa aliye serious ani pm.

Wasifu wangu
Sina mtoto
Sivuti sigara
Nimejiajiri mwenyewe ili mradi mkono mkono uingie kinywani
Elimu chuo kikuu
Dini mkristu
Sina ubaguzi wa kabila, dini, mahali anapoishi ili mradi awe tayari kuishi popote katika sayari ya dunia yetu.Mtoto akiwa naye sawa japo lengo awe hana mtoto.

Elimu kuanzia kidato cha sita na kuendelea. Nitampenda na kumtimizia mahitaji yote kama mke apasavyo kutimiziwa, tutaishi kwa furaha na upendo wa kweli, nitakua mwaminifu kwake naye awe pia.

Nacho amini ndoa ya kweli yenye furaha ipo hasa umpate anayejua nini thamani ya ndoa.

Naahidi hutojutia kua nami endapo tutakua pamoja nakuishi pamoja kama wanandoa.Awe na umri kuanzia 27-31.

Kama upo serious njoo ila kama haupo serious usije kwa maana utakua unanipotezea muda, mimi na umri wa miaka 33.
 
Umeleta porojo nyiiingi na elimu yako ya chuo bali umeshindwa kutuambia kama umepimwa UKIMWI,na matokeo yalikuwaje?
hauwezi kuwakamata dada zetu kiboya hapa...
 
Ngumu sana kukuta bandiko la wasaka tonge ,alafu ukakuta hii kitu" awe tayar kupima" .

Nahii wote, mtafutaji na mtafutwaji wanaiogopa sana.
 
Back
Top Bottom