Mi ni mwanaume natokea nyanda za juu kusini, umri wangu uko ukingoni mwa 20's najitokeza kutafuta mwenza wa maisha ambaye yuko tayari na serious dini yangu mie mkristo, elimu ya kunitosha, nimejiajili sibagui dini,rangi, kabila, sura wala status ya elimu umri usizidi 27 akitokea kusini itapendeza zaidi mungu awabariki na mungu anibariki. Karibu pm