Mimi ni kijana wa kiume
29 yrs natafuta mwenza wa Maisha (mpenzi) mwenye vigezo vifuatavyo
1. Umri 22+
2. Dini (Christian) mcha Mungu
3. Location - Tanzania
Elimu sio kigezo kwangu kwa maana mimi nataka mke ambaye ni wife material na sio Professor. Kwa ambaye yuko interested ani PM na nitamjibu.
Mungu awabariki sana.