Natafuta mwenza wa maisha

Natafuta mwenza wa maisha

Visionor

Member
Joined
Nov 9, 2017
Posts
20
Reaction score
14
Habari wana JF,

Natafuta mwenza wamaisha umri kuanzia miaka 30, awe mwelewa, mcheshi, hofu ya Mungu, Upendo wa kweli, mahali popote, kabila lolote anakaribishwa.

Mimi ni mwanaume mwenye umri miaka 38. Kazi nimejiajiri mwenyewe, dini ni mkristu.

NB: Awe tayari kupima HIV.
 
Wahitaji wa Mume mkuje hapaa mnaitwaa, kuna jambo lenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wanakuja wahusika, kila la heri mkuu

Back
Top Bottom