Mi ni kijana mwenye umri wa miaka 32, si mfupi wala si mrefu, ni wakati; umbo la kati, Mkristo. Elimu yangu ni chuo kikuu, na nimejiajiri katika sekta binafsi. Namtafuta mke awe mkristo (mwislamu awe tayari kubadili dini)mwenye umri kati 24-29, aliyejiajiri au emeajiriwa, mrefu kiasi, umbo la kati (asiwe mnene), angalau awe na diploma na kuendelea, awe mtafutaji, mwenye upendo na mkarimu, mzuri wa sura. Ikiwa yuko hapa mtu wa namna hiyo, ni PM. Mambo mengine tutaongea nikimpata. Tafadhali sana wana jamvi, kwa wanawake tu walio serious and they what they are looking for.
Ikiwa ni mapenzi ya Bwana, hata hapa naweza kukutana na ubavu wangu
Ikiwa ni mapenzi ya Bwana, hata hapa naweza kukutana na ubavu wangu