cv yako haitoshi mum!
Wanajamvi natafuta mwenza, me ni mama wa mtoto mmoja. Kutokana na sababu zisizozuilika nimetengana na mwenzangu. Nimekuwa mpweke kwa muda. Naomba msinibeze . Nawasilisha.
mm huwa sitembeleagi hili jukwaa. leo nimetumia muda kupitia sredi kadhaa. kuna moja analalamika anatongozwa halafu kuna hii ameamua kuomba atongozwe. sasa inakuwaje?