Natafuta mwenza

Hermez

Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
9
Reaction score
1
Habari za majukumu wana JF,

Mimi ni kijana 28 yrs naishi TMK. Natafuta mdada atakae kuwa tayari kunipenda na kutekeleza plan ambazo tutazipanga kama partners.

Sifa;
Umri miaka 18 hadi 26.
Awe Anaishi Dar
Awe mweupe kidogo/ Maji ya kunde.
Christian/ kama ni Islamic awe mpole tu kubadili.
Awe hajawahi kuolewa au kuzaa.
Elimu at least form4.
Atakae kuwa tayari ani PM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kutwambia temeke nzima wanaringa!? Aaah mkuu acha hizoo
No Sio temeke Nzima na Sio kila mwanamke nikimuona tu namtongoza.
Me huwa najukuta nimemtongoza mwanamke pale napo muona na kuvutiwa nae pia labda kwa kuwa natoka job jioni sana ndo mana hahisi kama sikutani na warembo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…