mtundu27
Member
- Jul 17, 2018
- 78
- 123
Habarini wadau!
Natumai mu wazima wa afya.
Hakika sijabahatika kuwa na furaha katika hizi anga za mapenzi, kila napogusa naishia kutokuwa na furaha katika mapenzi.
Kila niliyekuwa naye tunaishia kuaachana huku umri wangu ukienda.
Hakika naona umri wangu unazidi kusogea huku sina furaha moyoni.
Na miaka 32, niko dodoma.
Natafuta mdada mwenye elimu kuanzia chuo, aliyetulia mwenye focus ya kujenga maisha na si starehe kila kukicha, dini yoyote, umri kuanzia 28 na kuendelea.