Natafuta mwenza

Inferiority complex ndo hii sasa.

 
Inferiority complex ndo hii sasa.
Ukiona mwanamke anasema hataki kuwa na mwanaume mweupe ukimdadisi vizuri atakwambia wanaringa sana na mwanaume mweupe hawezi kuwa wa peke yako lazima wanawake wengine wanammezea mate.

Hiyo ndo siri kuu ya wanawake wengi kutopenda kuwa na mahusiano na wanaume weupe kwasababu huwa wanajihisi kutojaliwa.

Hili wamewahi kuniambia wanawake kadhaa kwahiyo naongea kwa uzoefu ulio hai sio wakusimuliwa tu.
 
Mkuu mbona uzi hauhusu wanaume weupe au weusi!!
Hili ni jambo jipya ulilolileta baada ya kukosa sifa ya mleta uzi.

Wanaume weupe huonekana midebwedo na wengi wenu hamna sura za kiume kitu ambacho baadhi ya wanawake hawakipendi.

Kuna uzi ule wa mwanamke wa 40 yrs alisema anataka mwanaume mwenye sura ya kiume (ikiwa mbaya ataipenda zaidi), so ni ile kujihisi safe.(sijui unaelewa).

Na kiukweli nimeshangazwa sana na wewe mwanaume kujitetea namna hiyo kwa kitu nje ya uzi kabisa.

Nyuzi nyingi humu wanawake hutaka wanaume weusi, nadhani wao ndio wana majibu zaid na sio wewe na mimi.
 
Inferiority ama superiority mkuu?

Watu tunasumbiliwa na mademu hadi tunawatafutia vijisababu uchwara kuwatema halafu wasemaje tena?

Ninao wake wawili mkuu lakini bado wanawake wananisunbua sana mtaani kwasababu ya rangi zetu hizi za mitume.
Nimesema hivyo kwasababu unajitetea bila kuulizwa wala bila sababu.

Mleta uzi hajasema lolote kuhusu kwanini anataka rangi nyeusi lakini umemjia juu bila sababu as if upo akilini mwake.
 
Nikishindwa na hapa basi tena. Maana kwa vigezo basi nimepass 99%
 
Mungu akupe hitaji la moyo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…