Natafuta mwenza

Winniepiere

Member
Joined
Nov 29, 2020
Posts
13
Reaction score
35
Jinsia Ke,
Rangi maji ya kunde,
Miaka 27
Nna mtoto mmoja,
Nimejiajiri huduma za Afya,
Natafuta mwenza wa maisha,
Awe maji ya kunde na mrefu ,
Umri 32-35,
Awe muajiriwa kada ya Afya au amejiajiri

Awe serious na mahusiano

Kama huna vigezo acha maneno mabaya sio lazima uonekane umecomment kila mtu anafanya anachoona sahihi
 
Jinsia Ke,
Rangi maji ya kunde,
Nna mtoto mmoja,
Nimejiajiri huduma za Afya,
Natafuta mwenza wa maisha,
Awe maji ya kunde na mrefu ,
Umri 32-35,
Awe muajiriwa kada ya Afya au amejiajiri

Awe serious na mahusiano
Serious na mahusiano ndiyo aje?
 
Nipo njoo PM kama uko serious.

Sifa zangu unazo ila tu please uwe mrembo/Mzuri/Uvutie

Mengine yote ntakuvumilia, ila Kwa sifa zako ntakuweza only if eneo la UREMBO/uzuri una A+
 
Kama Baba mtoto bado anatoa huduma
Tutakupitia tu kama alivofanya yeye
 
kada ya kutia maumivu ya kichomi mara utasikia weekend nimeombwa niingie shift usiku kuna upungufu wa wauguzi! kesho anaamkia mtaa wa 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…