Natafuta mwenza

Natafuta mwenza

PrincessGinna

New Member
Joined
May 22, 2024
Posts
2
Reaction score
36
Habari ya wakati huu. Nimeleta mrejesho kwa kipindi ambacho nimekuwa na uhitaji wa mwenza na nikaposti humu. Lakini waliokuja pm ni wababa waume za watu na wengine wanakuja for funny tu, wakihisi hii ni sehemu ya kula kucheza na kuondoka.

Wakati Niko seriously katika Jambo hili na Nina uhitaji wa mwenza, ili kama tukija kuelewana vizuri basi tuweze kufunga pingu za maisha. Haimaanishi kuja hapa kuwa eti mtaani hawapo au kanisani hawapo, hapana. Bali Kuna sababu zilizosababisha nikaja kwenye platform hii.

Bado sijachoka, ninauhitaji wa mwenza , awe na age kuanzia 32 mpaka 40. Awe mkristo ikiwa mkatoliki itapendeza zaidi, awe mkoa wowote, akiwa na watoto sawa, ilmradi tu ajue majukumu yake kama baba wa familia. Awe na kitu kinachomuingizia kipato ili tu tusilale na njaa.

Sifa zangu ni mkristo katoliki, nimejiajiri, nna watoto 2, miaka yangu 32, mwembamba. Naishi dsm.
NOTE:.

ANAYEKUJA UHAKIKISHE SIYO MUME WA MTU NA PIA UKO SERIOUSLY UNAHITAJI SAFARI YA MAHUSIANO. OTHERWISE SIHITAJI KUKUONA PM.

KARIBU PM KAMA UNA SIFA , UNAHITAJI MTU MWENYE SIFA KAMA ZANGU, NA UNA NIA THABITI YA MAHUSIANO.

SIO KWASABABU UMEONA NI SINGLE MOTHER BASI UKAHISI NI SEHEMU YA KULA KIRAHISI NA KUONDOKA. BE CAREFUL.
 
Please attach death certificate of your children's father pls.
 
Unaogopa sana "Kulala njaa" ?? Mtalalaje njaa wakati na wewe umejiajiri unapata kipato?

Kwahiyo mwezako mambo siku yakienda kombo kafukuzwa kazini au kapunguzwa kwa miezi sita au mwaka ajira kakosa Je utamkimbia?

"Red Flag"🚨
 
Iwe heri kwako, ni vile upo nje ya hiki unachokitafuta , ila ukiisha kipata kutakuudhi kitakukera na utakikina na utakumbuka na kutamani kurejea hapa ulipo leo .

Lakini pia kupata mwanaume wa umri huo asie na mke awe wa wako peke yako na aliye na ustaarabu unaoutaka nadhani itakusumbua kidogo.
 
Habari ya wakati huu. Nimeleta mrejesho kwa kipindi ambacho nimekuwa na uhitaji wa mwenza na nikaposti humu. Lakini waliokuja pm ni wababa waume za watu na wengine wanakuja for funny tu, wakihisi hii ni sehemu ya kula kucheza na kuondoka.

Wakati Niko seriously katika Jambo hili na Nina uhitaji wa mwenza, ili kama tukija kuelewana vizuri basi tuweze kufunga pingu za maisha. Haimaanishi kuja hapa kuwa eti mtaani hawapo au kanisani hawapo, hapana. Bali Kuna sababu zilizosababisha nikaja kwenye platform hii.

Bado sijachoka, ninauhitaji wa mwenza , awe na age kuanzia 32 mpaka 40. Awe mkristo ikiwa mkatoliki itapendeza zaidi, awe mkoa wowote, akiwa na watoto sawa, ilmradi tu ajue majukumu yake kama baba wa familia. Awe na kitu kinachomuingizia kipato ili tu tusilale na njaa.

Sifa zangu ni mkristo katoliki, nimejiajiri, nna watoto 2, miaka yangu 32, mwembamba. Naishi dsm.
NOTE:.

ANAYEKUJA UHAKIKISHE SIYO MUME WA MTU NA PIA UKO SERIOUSLY UNAHITAJI SAFARI YA MAHUSIANO. OTHERWISE SIHITAJI KUKUONA PM.

KARIBU PM KAMA UNA SIFA , UNAHITAJI MTU MWENYE SIFA KAMA ZANGU, NA UNA NIA THABITI YA MAHUSIANO.

SIO KWASABABU UMEONA NI SINGLE MOTHER BASI UKAHISI NI SEHEMU YA KULA KIRAHISI NA KUONDOKA. BE CAREFUL.
All the best mpenz...usisahau kuzidi kumuomba Mungu,utapata wako.♥️
 
Back
Top Bottom