Natafuta mwenza

Mimi navyojua mechi zote zinaanza Bila Bila, yaani Ziro Ziro, yeah 0 - 0
 
, MUNGU atakupa fungu lako muombe yeye sio jf , siku ambayo hutarajii ila ukiliweka sana kichwani utaangukia pua
 
Hahaha.............ila Singo Mama wanapitia changamoto sana kwenye kutafuta life partner, japo ukifanikiwa kuanzisha naye mahusiano wengi wanatulia maana wanakuwa wamepata some sort of lesson.
Single maza hapana kwa kweli., mwanaume anatakiwa kuanzisha familia yake kuanzia 0 sio kwenda kuunga kwenye familia ya mwanaume mwingine
 
Single maza hapana kwa kweli., mwanaume anatakiwa kuanzisha familia yake kuanzia 0 sio kwenda kuunga kwenye familia ya mwanaume mwingine
Hahaha.............Kuna watu hawajabahatika uwezo wa kumpa mimba Mwanamke, hivyo badala ya kwenda kuasili bora uoe Singo Mama mmoja mnalea watoto.

Japo hata kama una huo uwezo unaweza ukapendana naye na mkaendelea kuongeza watoto pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…