Natafuta mwenza

Asiwe mume wa mtu hao w atoto atakuwa kazaa na mbwa
 
Unaogopa sana "Kulala njaa" ?? Mtalalaje njaa wakati na wewe umejiajiri unapata kipato?

Kwahiyo mwezako mambo siku yakienda kombo kafukuzwa kazini au kapunguzwa kwa miezi sita au mwaka ajira kakosa Je utamkimbia?

"Red Flag"🚨
Ana mbwembwe sio mchezo, Kina azizi K tayari wameshatupia 2-0 halafu preche preche nyingi sana kinatafutwa kichwa cha kusomesha watoto omba usipate wahuni wakatupia goli jioni jioni.
 
Nikushauri tu kama unataka mtu "serious" mtafute afisa wa jeshi tena wale wa ngazi za juu huwa ndio wako "serious" mda wote sijui kama humu wamo
 
Sio kibonge, mkatoriki safi kabisa..

Aisee una sifa zote nitakazo kwa mke wangu.
Lakini je hilo bichwa langu hapo utalikubali??

Nimejaribu kutongoza kina dada kadhaa wananiambia eti nitawapa shida wakati wa uzazi, ati watoto wakirithi hili bichwa watawachana wakati wa uzazi..
 
Kila mmoja awe na watoto ,hii safi kwa ufupi watoto mnachanga then mnatoana upweke tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…