Natafuta mwenza

 
Dah huu mtihani kwangu iwa unakuwa mgumu sana kha!

Ni mgumu kwa vile wanaume mnaogopa challenge,mnataka muwe juu ya wake/wachumba zenu kwa kila kitu.Nadhani wewe unapenda dada awe form 4 na wewe Bachelors/Masters au?
 
Samahani kama nitakuwa nimekukwaza kwani wewe umesha kuwa booked maana na mm nipo kwenye hiyo mikakati ya 2012 sasa bado sijapata si unajua msafara wa nzige na panzi wamo.

Hujanikwaza. Nakutakia kila la heri na hiyo mikakati ya 2012.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…