Pascal Silvin
Member
- Jul 14, 2017
- 5
- 2
Habari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kakaKila la kheri mkuu
Unataka abaki single? Unahisi akiingia humo kwa relationship mambo yatabadilika 😀😀Akina Pascal Silvin wanakuaga wagunduzi & wavumbuzi; nakushauri tu uendelee kudumu katika hali hii utalisaidia taifa sana[emoji1787]
Na wewe?Kila rakheri mkuu
Sina vigezo mimiNa wewe?
Ila wewe unaonekana mzuri sana huwa nakupendaga leo ngoja niseme tuSina vigezo mimi
Wow ahsante kwa upendo wako😍, Kuhusu uzuri wala si kweli mkuu nipo kawaida sana (ugly)Ila wewe unaonekana mzuri sana huwa nakupendaga leo ngoja niseme tu
Hata usiwazie uzuri kama wale wa insta kwangu hivo hivo ulivyo ni mzuri kwangu.Wow ahsante kwa upendo wako[emoji7], Kuhusu uzuri wala si kweli mkuu nipo kawaida sana (ugly)
Na kuonja onja inakera.Mwanaume akijua kupika vyakula vingi haipendezi. Kukosoa kosoa hakuishi. Natania lakini
Aisee haya thank you AprilHata usiwazie uzuri kama wale wa insta kwangu hivo hivo ulivyo ni mzuri kwangu.
Amen!!
Ohoo nikahisi anayejua kupika ndiye mzuri mara moja moja au zote tu atakua akipikia familia🤔Mwanaume akijua kupika vyakula vingi haipendezi. Kukosoa kosoa hakuishi. Natania lakini
Kabisa ati chef anatafuta mke kah.😂😂😂😂Ohoo nikahisi anayejua kupika ndiye mzuri mara moja moja au zote tu atakua akipikia familia🤔
Ila kweli mfano chakula kikikosewa kupikwa kidogo tu atanotice aargh.
Inabidi apate mke anayejua kupika kweli kweli otherwise humo ndani sijui.😀😀Kabisa ati chef anatafuta mke kah.😂😂😂😂
Siyo kwamba tu yatabadilika, yataharibika 🙂Unataka abaki single? Unahisi akiingia humo kwa relationship mambo yatabadilika [emoji3][emoji3]