Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Hii mbinu ya kivita ya kujiita ugly imeanza lini tena jamani, nami nataka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wow ahsante kwa upendo wako[emoji7], Kuhusu uzuri wala si kweli mkuu nipo kawaida sana (ugly)
Ooh kwamba sisi ni waharibifu jamani?๐ Si kweli bana tena nahisi mke ndiye atamsaidia zaidi kufikia malengo yake.Siyo kwamba tu yatabadilika, yataharibika ๐
Siyo mbinu ni ukweli J hivo inabidi kumtahadharisha mtu mapema kabla hajafikia mbali kwa expectations zake๐Hii mbinu ya kivita ya kujiita ugly imeanza lini tena jamani, nami nataka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akina Pascal Silvin wanakuaga wapole sana labda wakutane na ma-introvert wenzaoOoh kwamba sisi ni waharibifu jamani?[emoji3] Si kweli bana tena nahisi mke ndiye atamsaidia zaidi kufikia malengo yake.
Ni sawa eti lakini siyo kwa msisitizo huo wa maandishi ๐Siyo mbinu ni ukweli J hivo inabidi kumtahadharisha mtu mapema kabla hajafikia mbali kwa expectations zake[emoji3]
You are welcome!Aisee haya thank you April
Huo mguu n wako pek yko ama mpo watatuMwanaume akijua kupika vyakula vingi haipendezi. Kukosoa kosoa hakuishi. Natania lakini