QueenQueen
Member
- Oct 6, 2011
- 26
- 17
- Thread starter
-
- #61
Aiseee! Awe mkristo,ana hofu na Mungu then awe ameachika au na mtoto, hv wakristo kuna kuachika kweli?!
Anyway all the best mamdogo.
Eebwana umejuaje nami natafta mtu,mke wa kushea naye katika haya maisha mafupi, ila niko rock city nimwajiriwa wa serikali na malizia research yangu ya masters,35 yrs.mrefu,maji ya kunde na pombe mara moja kwa mwaka.
nimekukubali mama ila dah me sina vigezo vyote ila napenda kuwa rafiki yako? mia
About me:
-Christian
-Msomi
-Najitegemea
Mengineyo tutafahamishana zaidi
Sifa ninazohitaji kwa Mwenzi wangu:
-Awe mtu mzima miaka 35-45
-Christian mwenye hofu ya Mungu
-Awe anaishi Dsm
-Ameenda shule japo degree moja
-Asiwe ameoa wala kua anaishi na mwanamke kwa sasa
-Akiwa ameachika au ana mtoto ni sawa
-Awe na shughuli/kazi inayoeleweka sihitaji tapeli
-Asiwe Mlevi ila kunywa kiasi ni sawa
-Awe na hitaji la kuwa na mtu wa karibu kama ni mapenzi ya Mungu tutaoana
-Awe muwazi kuhusu maisha yake
If interested PM me,namba za simu tutapeana baadae.
Ndoa za siku hz sio za zamani,watu wanaachana kila kukicha kwa sababu mbali mbali,there are few good men out there wameachika they need a second chance.
japo mm sio mkristo bt wakiacha hakuna kuoa tena otherwise mmoja mauti yamkute ndipo mwingine aoe. Je utazini in all ur life?
About me:
-Christian
-Msomi
-Najitegemea
Mengineyo tutafahamishana zaidi
Sifa ninazohitaji kwa Mwenzi wangu:
-Awe mtu mzima miaka 35-45
-Christian mwenye hofu ya Mungu
-Awe anaishi Dsm
-Ameenda shule japo degree moja
-Asiwe ameoa wala kua anaishi na mwanamke kwa sasa
-Akiwa ameachika au ana mtoto ni sawa
-Awe na shughuli/kazi inayoeleweka sihitaji tapeli
-Asiwe Mlevi ila kunywa kiasi ni sawa
-Awe na hitaji la kuwa na mtu wa karibu kama ni mapenzi ya Mungu tutaoana
-Awe muwazi kuhusu maisha yake
If interested PM me,namba za simu tutapeana baadae.
About me:
-Christian
-Msomi
-Najitegemea
Mengineyo tutafahamishana zaidi
Sifa ninazohitaji kwa Mwenzi wangu:
-Awe mtu mzima miaka 35-45
-Christian mwenye hofu ya Mungu
-Awe anaishi Dsm
-Ameenda shule japo degree moja
-Asiwe ameoa wala kua anaishi na mwanamke kwa sasa
-Akiwa ameachika au ana mtoto ni sawa
-Awe na shughuli/kazi inayoeleweka sihitaji tapeli
-Asiwe Mlevi ila kunywa kiasi ni sawa
-Awe na hitaji la kuwa na mtu wa karibu kama ni mapenzi ya Mungu tutaoana
-Awe muwazi kuhusu maisha yake
If interested PM me,namba za simu tutapeana baadae.
About me:
-Christian
-Msomi
-Najitegemea
Mengineyo tutafahamishana zaidi
Sifa ninazohitaji kwa Mwenzi wangu:
-Awe mtu mzima miaka 35-45
-Christian mwenye hofu ya Mungu
-Awe anaishi Dsm
-Ameenda shule japo degree moja
-Asiwe ameoa wala kua anaishi na mwanamke kwa sasa
-Akiwa ameachika au ana mtoto ni sawa
-Awe na shughuli/kazi inayoeleweka sihitaji tapeli
-Asiwe Mlevi ila kunywa kiasi ni sawa
-Awe na hitaji la kuwa na mtu wa karibu kama ni mapenzi ya Mungu tutaoana
-Awe muwazi kuhusu maisha yake
If interested PM me,namba za simu tutapeana baadae.
Naruhusiwa maana mim najitegemea ila nina makaz yangu hapo da... Ila kazi yangu nalima karanga kwetu mpyapya kwa mwaka napata gunia 10 nikipata chans naongeza shamba la mahindi. Elimu darasa la saba la upe! Nina punda wa nne kwa ajili ya mizigo.
Namtakia Salama yeyote yule atakaekuoa.Kaka asante,Mimi sie mnywaji sana occasionally bia 2,whiskey kidogo,wine kdg.
No Thank u