R Rog chimera JF-Expert Member Joined Apr 28, 2018 Posts 398 Reaction score 706 Dec 7, 2019 #1 Salam wakuu, Ni aina ipi ya mzani yenye ubora wa juu kwa ajili ya kupimia vitu kwenye duka la reja reja? Nazungumzia mzani mdogo wa kilo 20 kushuka au 15 kushuka chini.
Salam wakuu, Ni aina ipi ya mzani yenye ubora wa juu kwa ajili ya kupimia vitu kwenye duka la reja reja? Nazungumzia mzani mdogo wa kilo 20 kushuka au 15 kushuka chini.