natafuta mzee mwenzangu

natafuta mzee mwenzangu

Jenu

Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
70
Reaction score
44
Jamani Mimi ni mwanamke Mtu mzima,najiheshimu,nimeshamaliza purukushani za dunia ,sasa nataka mwanaume Mtu mzima wa kumaliza nae,awe mweusi,mfupi,kabila na dini yeyote,pia ajitume wakati wa tendo,asanteni
 
I have a phobia for growing old alone jamani. Ewe Mungu msaidie dada Jenu apate mwenzake lo.
 
Last edited by a moderator:
Aisee tamthlia zako nzuri lakini Oscar hupati!
 
Back
Top Bottom