raia_mwema
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 479
- 314
nimehitimu degree katika field ya ICT mwaka 2011, Baada ya kutuma application zisizopungua 80 pasipo mafanikio naomba kwa mwenye msaada kwani natafuta ofisi ambapo nitavolunteer kazi za ICT kwa mkoa dar es salaam......
kati ya hizo umeitwa interview ngapi?
nimehitimu degree katika field ya ICT mwaka 2011, Baada ya kutuma application zisizopungua 80 pasipo mafanikio naomba kwa mwenye msaada kwani natafuta ofisi ambapo nitavolunteer kazi za ICT kwa mkoa dar es salaam......
umebobea kwenye nini, database, hardware, or ???
Network ndio database sijaifanyia sana lakini nayo pia naiweza TPA siijawahi kuombaNami naungana naye jamaa kukuuliza umebobea kwenye database au Network?
Je umewahi kuomba TPA?
Tanesco nilishawahi peleka pale hawakujibuNenda tanesco
Tanesco nilishawahi peleka pale hawakujibu
nimehitimu degree katika field ya ICT mwaka 2011, Baada ya kutuma application zisizopungua 80 pasipo mafanikio naomba kwa mwenye msaada kwani natafuta ofisi ambapo nitavolunteer kazi za ICT kwa mkoa dar es salaam......[/QUOTE
fanya kazi ya kufagia barabara ni kazi nzuri kwa ma volunteer

kama huna la kuongea ni bora tuh uende home ukacheze kidalimpooo na dem wako au buzi lako kuliko kukejeli wenzio wanapoomba msaada
nimehitimu degree katika field ya ICT mwaka 2011, Baada ya kutuma application zisizopungua 80 pasipo mafanikio naomba kwa mwenye msaada kwani natafuta ofisi ambapo nitavolunteer kazi za ICT kwa mkoa dar es salaam......
nimehitimu degree katika field ya ICT mwaka 2011, Baada ya kutuma application zisizopungua 80 pasipo mafanikio naomba kwa mwenye msaada kwani natafuta ofisi ambapo nitavolunteer kazi za ICT kwa mkoa dar es salaam......[/QUOTE
fanya kazi ya kufagia barabara ni kazi nzuri kwa ma volunteer
Sasa hapo ndo umetoa msaada au umeponda????....acha ulimbukeni ww...mtu anapoomba msaada km hutak/hujui nyamaza...hapa tupo kusaidiana/kushauriana.....:lol: